Saturday, April 01, 2006

Conje, you were not decongested; I saw it!

It just ended. Conje should have won it on points, surely!

1 Comments:

Anonymous ndesanjo said...

Asante ndugu yangu. Tutafurahi kupata mwanablogu mwingine wa Kiswahili toka Kenya (ukiacha Maitha: http://bangaiza.kylix.co.ke/
Mhujumu: http://mhujumuwasanaazetu.blogspot.com/
Na Mtandawazi: http://mtandawazi.wordpress.com/

Usisite kututaarifu mara tu utakapopata wasaa wa kuanzisha hiyo blogu ya Kiswahili.

Ni huzuni dada yetu Conje hakupata ushindi. Sijui wale marefa wa Ghana na Afrika Kusini ilikuwaje wasimpe pointi dada yao! Afadhali yule wa Tanzania alimpa ushindi!

4/02/2006 08:08:00 pm  

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home